Loading...
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Samehe - Goodluck Gozbert
...
Aaaaah Mmmmh mmmmh
lalala lalala
Umekaa widhe unawaza na kuwazuaa, mwili ukonde wezako wanatanua ona huyo eeeh imani imepotea Eeee bora usonge mana muda unapotea eeeh
Wewe si wa kwanza waliokutenda Eeeeh
vile uko na uzima shukuru muumba Eeeeeh
Mwingine sialisema ukimsaidiaaa ana moyo mbona ni mapema kabadilikia machoni pako ulijua tenda wema tenda wema nenda nenda
Umejua tenda wema tenda wema nenda yatosha
wakiona wakuache sawa sawa
wakiona wakucheke sawa sawa
see lyrics >>Similar Songs
More from Goodluck Gozbert
Listen to Goodluck Gozbert Samehe MP3 song. Samehe song from album Kampeni is released in 2021. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Goodluck Gozbert.
Related Tags: Samehe, Samehe song, Samehe MP3 song, Samehe MP3, download Samehe song, Samehe song, Kampeni Samehe song, Samehe song by Goodluck Gozbert, Samehe song download, download Samehe MP3 song