
Huwezi Kushindana
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Huwezi Kushindana - Goodluck Gozbert
...
Hauwezi kushindana, oh kushindana
Na mwanadamu mwenye kinywa
Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
Ukiendelea unawapa kichwa hao
see lyrics >>Similar Songs
More from Goodluck Gozbert
Listen to Goodluck Gozbert Huwezi Kushindana MP3 song. Huwezi Kushindana song from album Huwezi Kushindana is released in 2021. The duration of song is 00:10:57. The song is sung by Goodluck Gozbert.
Related Tags: Huwezi Kushindana, Huwezi Kushindana song, Huwezi Kushindana MP3 song, Huwezi Kushindana MP3, download Huwezi Kushindana song, Huwezi Kushindana song, Huwezi Kushindana Huwezi Kushindana song, Huwezi Kushindana song by Goodluck Gozbert, Huwezi Kushindana song download, download Huwezi Kushindana MP3 song
Comments (148)
New Comments(148)
peterky8fb
GRACE AOKO5hb9u
Nice song
Marycuofs
iko poa
farajap034
iv ulifikiria nn had ukatung huu wimb
Pauline mmanilc3u9
my best song love it
annielkyle
this song hua inanitia moyo sana nikisikiliza
kevin de coco
best of my song
martine oketch
tamu
Emma7u4wx
ii wimbo uwanga inanbless xna
Rovin1uy1z
video of vibian tiony
johnqjfat
nI kweli kabisa binadamu huwezi ukasukashandananaye Kwa kutumia maneno ila unamwachia mungu
Beracah49dbj
this song usually strengthens me when am down
blessed