Loading...

Download
 • Genre:Afrobeats
 • Year of Release:2017

Lyrics

Nimesamehe - Goodluck Gozbert

...

Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Baki na Amani Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Ili nisameheweSisoneke moyoni Usijiumize na Dunia hayafurahishi Ni wengi walioniumiza Kuuguza moyo wangu Ilinigharimu sana Wazazi au Ndugu Rafiki, mpenzi, wanaweza kuumiza moyo wako Nilitunza mengi moyoni visasi Ila nasamehe baki na furahaa Wakati Mzazi anaangaika kunitafutia chakulaa Hawakutaka kunisaidia Leo hii nimefanikiwa wanitaka


Wamesahau aliwatafuta wakamtimua nenda


Wajua ninamaumivu ya moyo Mengi katu siwezi sababu Ila Ninasamehe Ninasamehe Wala sio kwa ajili ya mtu Wala sio kwa ajili ya Dunia Ila kwa moyo wangu na amani ya kesho Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Baki na Amani Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Ili nisamehewe Marafiki wengi huja ukiwa nazo zikiondoka Hautowaona tena Niliharibu kwa ndugu zangu Kusimama na huyu mwenzangu Badaee akanisalitii Nikaukana utu wangu Kuonesha Upendo wangu Niliyemuhangaikia leo ananisema vibaya Natafakari Wanadamu Tuna mioyo gani Kama Wanyama Hatuna hurumaa Yani mpaka ninahurumiwa na watu Mateso yasiishaga katu Nimeyaacha Ninamuachia Mungu Kama moyoni mwangu Pale hawakuthamini Hata nisiposamehe Hawawezi jifunza Sio wote wataniomba msamaha Wengine walikufaga Sijui nitatunza vya nini Wajua ninamaumivu ya moyo Mengine katu siwezi sahau Ila ninasamehe Ninasamehe Wala sio kwa ajili ya mtu Wala sio kwa ajili ya dunia Ila kwa moyo Wangu Na amani ya Kesho Ohoooo Ohooooo Eheeeee eheeeee Ahaaaaaaaa Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Baki na Amani Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Ili nisamehewe Ohoooo ohoo Ohooo ohoo Kwa ajiliiiiiiii Asante Yesu...


Written by:DAVID CHRISTOPHER

Similar Songs

Listen to Goodluck Gozbert Nimesamehe MP3 song. Nimesamehe song from album Ipo Siku is released in 2017. The duration of song is 00:05:08. The song is sung by Goodluck Gozbert.

Related Tags: Nimesamehe, Nimesamehe song, Nimesamehe MP3 song, Nimesamehe MP3, download Nimesamehe song, Nimesamehe song, Ipo Siku Nimesamehe song, Nimesamehe song by Goodluck Gozbert, Nimesamehe song download, download Nimesamehe MP3 song

Comments (16)

0/500

  New Comments16

  Robert 5wjj6

  If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271

  Nigeria

  monaa0jvj

  i just love this song[0x1f623][0x1f623][0x1f623]

  Zambia

  Tumsifu anacret

  nakubal

  Tanzania

  christina nekesa

  Nabarikiwa sana

  Kenya

  Grady Mkea

  mungu akuongoze popote mpendwa

  Tanzania

  Wilckyns odiwuor gogah

  My favorite of the best songs for soul lifting , awsome

  Kenya

  Ouma Onyango Kevin

  my favourite of all the best things there . i like your music video. wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow! ansxmzi

  Kenya

  Sabrina Mohammad

  my favourite artist

  Tanzania

  Davienyabz

  Blessed

  Kenya

  Dugange Alex

  nc nc nc nc nc nc mc nc nc nc nc nc nc mc nc

  Tanzania

  Deleted User

  This comment has been deleted.

  Tanzania

  Moses by6sn

  ipo maana ya kushukuru

  Kenya

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status