Nampa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nampa - Nuh Mziwanda
...
Nampa - Nuh_mziwanda
...
Verse1
Wandaa
Yeiye y yee
Vvm
Nasema penzi unalonipa acha tuwakomeshe (ahh)
Nasema penzi unalonipa (ayeayeeh) unanipa penzi lakitanga (ehh) natanga tanga
Penzi linasound kinanda (baby) ehh (kinanda)
Pre chorus
Acha mvua inyeshe naogelea
(Baby leo naogelea)
Kule nilikotoka walinionea
baby kwako ndo naponea
Kama unataka pweza na sambusa twende zenji bebi
Kama unataka penzi nitakupaa
Tamu tamu switi a
Aaah
Chorus
Atake nini tena (nampa)
Namjazia kopakopa
(nampa)
Atake nini switi (nampa)
Muhogo wa jang'ombe (nampa)
Atake nini tena (nampa)
Namjazia kopakopa (nampa)
Atake nini switiii (nampa)
Muhogo wa jang'ombe (nampa)
Basi nampaaa
Baby yooh mamaa (ahhh)
Baby yoo mamaa (nampaa)
Baby yooh mama (ahhh )
Baby yoooh mama
Basi nampaaa
Baby yoo mamaa
Baby you mamaa
Eiyeiyee
Baby yoo mamaa ehh
Baby you mama
Verse2
One in a million
Yani kama siafu tuaongozana
(Mi na yeye)
Kama sarafu nampenda sana (ooh yeye)
Kashikilia mtima
ng'ombe kala mzimazima
Jamani msije kata shina
(Oohh)nampenda sana
Pre chorus
Acha mvua inyeshe naogelea
Baby leo naogelea
Kule nilikotoka walionea baby kwako ndo naponea
Kama unataka pweza na sambusa twende zenji baby
Kama unataka penzi nitakupaa
Tamu tamu switi
Chorus
Atake nini tena (nampa)
Namjazia kopakopa
(nampa)
Atake nini switi (nampa)
Muhogo wa jang'ombe (nampa)
Atake nini tena (nampa)
Namjazia kopakopa (nampa)
Atake nini switiii (nampa)
atake nini
Muhogo wa jang'ombe (nampa)
Basi nampaaa
Baby yooh mamaa (ahhh)
Baby yoo mamaa (nampaa)
Baby yooh mama (ahhh )
Baby yoooh mama
Nyumbani kwetu kuna mbege (nampa)
Apate ugali teketeke (Nampa)
Nimdanngnye Nina ndege (Nampa) ahhhhhh
Moyo wangu mali yake (nampa)
chakula changu ale yeye (Nampa)
Nimdanganye nina ndege (Nampa) ohhhhhh yeeiyeeh
Kashilia mtima ng'ombe kala mzimazimaa
Jamani msije kata shinaa
Ooohhh nampenda sanaa
Top Talent