Penzi Jipya ft. Ucho & Muki Comando Lyrics
- Genre:Kwaito
- Year of Release:2022
Lyrics
Penzi Jipya ft. Ucho & Muki Comando - Nuh Mziwanda
...
Aaah asante ex wangu
Kwakuniacha ulizani umenikomoa
Huku nilipo nanenepa kwa raha zangu
Nakumeza nakute te te
...
Aaah asante ex wangu
Kwakuniacha ulizani umenikomoa
Huku nilipo nanenepa kwa raha zangu
Nakumeza nakutema nakukohoa
Demu langu lazamani naliona kama zombi
Zombi
Likitembea naliona lina bonge la kitambi tambi
Muone yule asa mimi wa nini
Sikuhizi hapendezi ata akivaa kimini
...
Kwanza ulikua wamchongo huyawezi mambo
Nimepata chombo
Huku mwendo wa maringo
Napewa uondo wasoro wagingo
Aah ukiniacha anakuja mwengine
Ukiniacha napata mwengine
Aanh ukiniacha anakuja mwengine
Ukiniacha napata mwengine
...
Ata jina lake silikumbuki
Nakumbuka tu nilimwita my
Kwanza nipishe naona mamluk
Mwenzake nishamsahau
Penzi jipya ni la moto sana
Penzi jipya ni mashamsham
Penzi jipya ni la moto sana
Penzi jipya ni mashamsham
Kupostiana vikopa kopa
Yani Nipo ladhi ata bando kukopa
Ooh wewe
Aaah asante ex wangu
Kwakuniacha ulizani umenikomoa
Huku nilipo nanenepa kwa raha zangu
Nakumeza nakutema nakukohoa
Aaah asante ex wangu
Kwakuniacha ulizani umenikomoa
Huku nilipo nanenepa kwa raha zangu
Nakumeza nakutema nakukohoa