Relax ft. Reby Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Relax ft. Reby - Nuh Mziwanda
...
Reby,,,,,,, punguza hasira Mama mwenzako nakupenda Sana binadamu wana hila wapendi tukipendana mbona mimi nakuvumilia ata kama ukiondoka najililia,,,,,,Kama siasa nimewekania ata Kama ukining'ong'a navumilia najuwaaaa unayosema moyoni yanatokea Kama mpenzi ukinunaaaa wapi mi mwenzako nitaeleke,,,,,,,unazidisha marafiki nikipiga simu ushiki wewe ata Kama tuna rafiki pesa zinatafutwa usichelewe najuaaa unayosema moyoni yanatokea Kama mpenzi ukinunaaa wapi mi mwenzako nitaeleke relax baby kwangu relax x4 ukiniona nachati naeusijipe mawazo kwamba Lulu ni rafiki tuuuu sa ya Nini vikwazo mbona anakutumia vikopa vikopa unadhani Mimi napenda na moyo wangu mnyongee nahisi Kama nitaendaa najuaaaa unayosema moyoni yanatokea Kama mpenzi ukinunaaa wapi mi mwenzako nitaeleke,,,,,,,umezidisha marafiki nikipiga simu ushiki wewe ata Kama tuna rafiki pesa zinatafutwa usichelewe najuaaa unayosema moyoni yanatokea Kama mpenzi ukinunaaaa wapi mi mwenzako nitaeleke relax baby kwangu relax x4 baby kwako mi Niko mi Niko mi Niko eeeeeeeeh x2 wabeje wabeje kolomba wanone mziwanda na Reby