Sandakalawe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Sandakalawe - Nuh Mziwanda
...
Mapenzi mchezo wa kuigiz, wengi wana foji
Mimi nilizani napendwa, kumbe ni bazaazi
mawaaaazo tena sinaa, nishapata faraja
mi mwanzoo ...... ilikua daraja
kamweleze ukweli, mi tayali nishapendwa
teeena sijariii .........
tena mwambie mwenzake (NAPENDWA)
mwili ukiniuma (NAKANDWA)
ayaaaaa weee