Hatujui ft. Dulla Makabila Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Hatujui ft. Dulla Makabila - Nandy
...
hatujui hatujui hatujui
hivi mnajua hili beat amegonga nan(hatujui)
nilivorekodi umeme aliweka nan(hatujui)
ngoma imerekodiwa studio ama nyumbani(hatujui)
aah wanangu vip chupa unadhani atashuti nani(hatujui)
siku zote kitimoto inauzika mwezi mtukufu
kwanin wateja wanapunguaaa(hatujui)
nami ninahela staa hivi mganga wangu mnamjua(hatujui)
kwanini pisi kali sifa za mstaa hawatoi
kwanini ukikopa ukweni huwezi kudai(hatujui)
kwanini wamasai chupi hawavai..Na nan kasema Nenga hanioi(hatujui)
wanangu mnajua nyie mnajua nyie(hatujui)
nyi mnajua kwnn msinisanue(hatujui)
mnajua nyie mnajua nyie(hatujui)
nyi mnajua kwnn msinisanue
Wanang mnajua nyie mnajua nyie(hatujui)
nyi mnajua kwnn msinisanue(hatujui)
mnajua nyie mnajua nyie(hatujui)
nyi mnajua kwnn msinisanue
yaani leo nataka kujua nani alioanzisha kudanga..
na kwenda kwa mpalange nataka kujua
hivi ananyumba ama kapanga
yani sauti ninayosikia ivi kweli vibonge wanavibamia
mm hapa mabantu na marioo mnajua kwnn tunajichubua(Hatujui)
wanangu mnajua nyie mnajua nyie(hatujui)
nyi mnajua kwnn msinisanue(hatujui)
mnajua nyie mnajua nyie (hatujui)
nyi mnajua kwnn msinisanue
we yule dada anavosaula we mpaka anaboa
ila anachonikoshaga akipataga mimba anatoaa
we kwanza mimba zote chini ya jua zimekusudiwa
usiseme bahati mbaya akati mwenyew ulivua
kidogo mama kesu anaweza akasamehewa
lakini uyu chura uligongwa ukapewa bia
shika kiuno shika na tena shika kino
wanangu ili dude ndo ma
shika kiuno shika na tena shika kiuno wanangu
we dada unabinua binu binu
binu tena dada unabinua binu binu
binu tena mama we unabinua binu binu
binu tena dada unabinua binu binu
binu..
we mwanangu shifter eeh
Michezo yako acha
dicksound
michezo yako acha
falid es2keez eeh
michezo yako acha
we tsanila kola
michezo ako acha
we kumbe amenyimwa ndogo ndo Mana amesusa
ooosh
we twende shakushaku we mabawa
we mzuka ukipanda ukicheza vyovyote sawa
wanangu shakushaku we mabawa
we mzuka ukipanda ukicheza vyovyote sawa
hata magumagu sawa bwana sawa
hata ukitetema sawa yote sawa
hata ukisaula sawa bwana yote sawa
hata ukijibeba sawa yote sawa
atiatiatiatiatia
we producer Kenny piga guitar mwanangu
moja mbili tatu week pigaa
produced by . King Perfet!