Naburudika ft. Nviiri The Storyteller Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Naburudika ft. Nviiri The Storyteller - Nandy
...
Marashi ya karafuu
yamenimwagikia kichwani
nimesheheni harufu
ya uwaridi ashumini
na sielew
umenichanganya changanya
umenipiga nusu kaputi ya mapenzi
na sielew
ipi caroti ipi nyanya
kwani ipi ndala na lipi buti
nimepatwa uchizi
unanikimbiza kama Duma (duma)
nishasahau ya nyuma(nyuma)
na baby unavojituma ,mi Niko hii
ona ninavoguna (guna)
kwani nani amenuna(nuna)
yani unavobana ,mi sikohoii
chorus
kweli mapenzi ni burudani[ (naburudika)]×2
burudani(naburudika mieee)
jama mapenzi ni burudani [(naburudika)]×2
burudani (naburudika mieee)
Naviri the storyteller
maisha nywee mambo shwari
maisha yetu kila siku party
sema ngwee ni dunge kaki
kitenge nayo iwe shati
take my name itangazwe BBC
vile umeangukui baby si
hapa kila siku jotooo
haizimiki motooo
naona rahaaaaa
kikombe changu imejaza
naona far kichwani kila ninapo kuwaza
ninakuja dar aah
tuma location nitafata
hivo ndivo inafaa oooh
kweli mapenzi ni burudani [(naburudika)]×2
burudani (naburudika)
jama mapenzi ni burudani [(naburudika)]×2
burudani (naburudika ieeeh)
lyrics by _.rynce