Nyanyasa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Nyanyasa - Nandy
...
aaaaah aaaaah
unaninyanyasa aah
(imma the boy on the beat)
unaninyanyasa aah
unaninyanyasa aaah
unaninyanyasa aah
unaninyanyasa aaah
mwili umekonda napunguaaa
haieleweki nachouguaaa
moyo kidonda unakwangua
inauma sanaa
mbele za watu unaniumbua
sina la kusemaa
visa unanifanyia japo navumilia
ila naumia sanaa
na siku ulikua
kua unanikosea
itakua too late
(japo) unaninyanyasa aah
(beib) unaninyanyasa aah
wew unaninyanyasa aah
(beib) unaninyanyasa aah
unaniangusha chini
aniokote naniii
japo ujui thamaniii
yangu mi
nani ataitambuaaa
wezakumbuka beibii
sisi tumetoka mbaliii
ukiwa huna siwazii
nimekubali tuijenge famil_ia
visa unanifanyia japo navumilia
ila naumia sanaaa
na siku ukijua
kua unanikosea
itakua too latee
(japo)unaninyanyasa aah
(beib) unaninyanyasa aah
(we) unaninyanyasa aah
(beib) unaninyanyasa aah
aah aah aaaaah
unaninya nya saaa