Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2018

Lyrics

Thamani - Nandy

...

Thamani na sura yako ndo inafanya mwenzangu ujidai

Husiringe huyo akupendae ipo siku atakuja kudie

Sina thamani mi nokia ya zamani kisa umemuona kishkwambi

Umenikana kwa rafiki adharani kweli penzi chachu tena silambi

Ni bora ungesema wazi kua unitaki ningeimili kua lonely

Kuliko penzi kua chachu ya maisha yangu furaha yangu nisiione

Mi mwana wa mwenzio ah mwana wa christina

Nafsi yangu kuishi na kinyongo haiwezi nasema hai!

Ukiniacha ntakufa mazima (sio sawa le sio sawa le)

Ukiniacha ntakuga mazima (itakua hatari itakua hatari)

Ukiniacha ntakufa mazima (sio sawa le sio sawa le)

Ukiniacha ntakuga mazima (itakua hatari itakua hatari)

Muda mwingine nawaza sababu yakununiana

Au labda mwenzangu bado una uvulana

Makusudi visa na dharau kupigana (udhuni)

Mi ubavu wako wa kushoto nimeumbwa aibu uoni aaah aiyayaya iayoyoyo

Muda mwingine nawaza sababu yakununiana

Au labda mwenzangu bado una uvulana

Mi mwana wa mwenzio mwana wa christina

Nafsi yangu kuishi na kinyongo haiwezi nasemaa aih

Ukiniacha ntakufa mazima (sio sawa le sio sawa le)

Ukiniacha ntakuga mazima (itakua hatari itakua hatari)

Ukiniacha ntakufa mazima (sio sawa le sio sawa le)

Ukiniacha ntakuga mazima (itakua hatari itakua hatari)

Ukiniacha nitakufa mazima baba

Mazima zima mazima babaa

Ooh yeye mazima baba

Itakua hataree

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status