Wanakufananisha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Wanakufananisha - Zoravo
...
Je ni nani wa kulingwanishwaa
Weeee
Walikufananisha na Musa
Walikufananisha na eliya aah
Walikufananisha na Musa
Walikufananisha na eliya aah
Hayupo kama wewe *6
Walikufananisha na Musa
Walikufananisha na Eliyaaa
Wanakufananisha na Musa
Wanakufananisha na Eliya
(Wakati hayupo kama wewe)
Hayupo kama wewe (Bwana kama wewe)
Hayupo kama wewe (kweli kama wewe)
Kama wewe kama wewee
Hayupo kama wewe
Je ni nani wa kulinganishwa na wewe
Je ni nani wa kufananishwa na wewe
(Je ni nani??)
Je ni nani wa kulinganishwa nawee
Je ni nani wa kufananishwa nawee
Hayupo kama wewe
Hayupo kama wewe