Sauti ya Imani ft. Paul Clement Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sauti ya Imani ft. Paul Clement - Zoravo
...
*instruments*
(Zoravo)
Hii ni sauti isiyodhaniwa na mtu yoyote, sauti ya Imani iwezayo kuhamisha milima (x2)
--
(All)
Hii ni sauti isiyodhaniwa na mtu yoyote, sauti ya imani iwezayo kuhamisha milima (repeat x4)
----
(Paul Clement)
Naimba Ushindi hata kama sijaona ushindi (x4)
--
(All)
Naimba Ushindi (hata kama bado)
Hata kama sijaona ushindi (ila naamini moyoni)
Naimba Ushindi (hata kama bado)
Hata kama sijaona ushindi
(heei naimba) Naimba Ushindi
(hata kama bado) hata kama sijaona ushindi (Ila naamini moyoni)
Naimba Ushindi,
(Hata kama bado) hata kama sijaona ushindi.
(heei naimba) Naimba Ushindi,
(hata kama bado) hata kama sijaona ushindi.
(Zoravo)
Oooh oh, oooh oh, oooh oooohh x2
(All)
Oooh oh, oooh oh, oooh, ooohhh x4
--
(Paul)
Mimi (mimi), ni mshindi (ni mshindi) x2
Ninashinda zaidi ya kushinda!
--
(zoravo/(all))
sema "mimi" (mimi), "ni mshindi" (ni mshindi) x3
--
(paul/(all)
sema "mimi" (mimi), "ni mshindi" (ni mshindi)
mimi (mimi), ni mshindi (ni mshindi)
(ninajua) mimi, (ni mshindi) ni mshindi
Ninashinda zaidi ya kushinda
(zoravo /(all)
(Yesu) Yesu, (ni mshindi) ni mshindi!
(hata mimi) Mimi ni mshindi
mimi ni mshindi
mimi ni mshindi x3
ninashinda zaidi ya kushinda
(nimezaliwa na Mungu) Mimi
(ninashinda ulimwengu) ni mshindi
(hivyo mimi) Mimi ni mshindi
(siogopi majaribu) mimi, ni mshindi ninashinda zaidi ya kushinda.
(sikupewa roho ya hofu) Mimi, (bali roho ya nguvu) Ni mshindi!
(Nimeushinda Ulimwengu) Mimi ni mshindi
Mimi ni mshindi, ninashinda zaidi ya kushinda
(Niko ndani ya Kristo) Mimi, (mimi ni kiumbe kipya) ni mshindi
(sina historia ya kushindwa) Mimi, ni mshindi
Mimi ni mshindi, ninashinda zaidi ya kushinda
--
sema "yeah (yeah) yeaah (yeaah) yeaah (yeaah)" x6
--
sema "ndioo (ndio) ni mshindi (ni mshindi)x6
--
naimba Ushindi hata kama sijaona ushindi x2
**OUTRO**
(Bibilia inasema "kilichozaliwa na Mungu hushinda ulimwengu!"
Ushindi wangu unatokana na sababu nimezaliwa na Mungu.
Na nikizaliwa na Mungu historia yangu inabadilika.
Tazama mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya, ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya.
Wewe huna historia ya kushindwa sababu ni kiumbe kipya. Umechukua historia ya Mungu wako!
Mungu wako hata historia ya kushindwa na wala huna historia ya kushindwa.
Unaposema "mimi ni mshindi" maanisha kuwa wewe ni mshindi... umezaliwa kwa mbegu isiyoharibika!
(sema mimi ni mshindi)x3
ninashinda zaidi ya kushinda.
(yeah yeah yeah yeah)
Boomplay lyrics by Dannie Nimrod