Neema Yako Yanitosha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Neema Yako Yanitosha - Zoravo
...
Sina cha kujivunia ila Neema yako
Neema yako yanitosha,
Sina cha kujisifia ila Neema yako
near yako yanitosha,
Sina cha kujigamba
Neema yako yanitosha ,
Sina cha kuwaonyesha
Neema yako yanitosha
Neema yako yanitooooshaa*8
nijalie unyenyekevu eeh Bwana wangu,
niondolee kiburi eeh Bwana wangu,
nipe moyo wa saburi eeh bwanaa wangu,
niondolee mashindano eeh Bwana wangu,
Niumbie moyo safi eeh bwanaa wangu,
nikutumie siku zote.
Neema yako yanitosha *10