Utukufu ft. Franc Jamrack & Blessed Hango Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
malaika wapaza sauti zao, kukwabudu, mfalme mkuu
maserafi wana inama, kukwabudu , mfalme mkuu
makerubi wanasujudu, kukwabudu, mfalme mkuu
wahai wanne, wanaanguka mbele zako, kukwabudu mfalme mkuu
wazee ishirini na wanne, wakwabudu, mfalme mkuu.
CHORUS
utukufu, heshima, shukrani,
pokea bwana pokea bwana.