Wimbo Mpya ft. Upendo Nkone Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Wimbo Mpya ft. Upendo Nkone - Zoravo
...
hallelujah tunaimba wimbo mpya
hallelujah wimbo wa milele×4
(wimbo wa milelee)
hallelujah tunaimba wimbo mpya
halleluja ni wimbo wa milele×2
halle halle halle
hallelujah halle halle halle
hallelujah tunaimba wimbo mpya
hallelujah wimbo wa milele×5
(wimbo wa milele)
tumaini letu ni moja tukifika kwa baba
tutaimba wimbo mpya kwa furaha na nderemo×2
hallelujah hallelujah ×2
hallelujah tutaimba wimbo mpya
hallelujah wimbo wa milele