Anarejesha ft. Rehema Simfukwe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Anarejesha ft. Rehema Simfukwe - Zoravo
...
anarejesha! vilivyopoteeya
wakati ule wa dhoruba
anarejesha vilivyoibiwa
wakati ule nimesinzia
anarejesha nilivyo nyang'anywa
wakati nimetindikiwa*4
niliangusha elfu eeee
safari hii makumi elfu
nilivuna wachache safari hii nakunyang'anya wote*2
ieiee
BWANA anarejesha, "anarejesha"
yesu anarejesha "anarejesha"
bwanaaa
uzima wangu
uchumi wangu
na safari hii nnainuka Kwa ujasiri adui yangu jiandae mapigo ya bwana *2