Quality Time Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Quality time, quality time ooh your my
quality time, quality time
It's me my self and I
Kokoriko oh oh
mpaka kokoriko oh oh
mpaka kokoriko oh oh
mpaka kokoriko
It's my self and I
Nilikuaaa kwenye jua nikimimina jasho
Kivulini Niko hapa nikimimina juice
Tena aiseeh acha Mimi nifanye ujenzi
Wee jifanye na maisha yakufanye mapenzi
hela unaombwa me naombwa sadaka
Kiss unapata me napata barakah
Mademu wako four wewe mwenyewe four
Fofofo mnalala mkiota lava four
Unajua me ni bigger mind flow za madafu
zinaleta land I'm jobless ila me si land
Kama hatima yangu mahati magandi
My elimu ni ufunguo wanaitaga keys keys
Wale wapumbavu wanapenda kiss kiss
Mi nakula bata we unakula school fee's
mi nishakula vitabu aah please
please
Please
Please
Please
Kokoriko oh oh
Mpaka kokoriko oh oh
Mpaka kokoriko oh oh
Mpaka kokoriko oh oh
It's me myself and I
Mama john anajua kila nyimbo nikitoa
Wapinzani wangu wote wanakaa me ni brand
Najiuza kila docho, kila chocho, kila nyumbani, kila bar
atakama nachelewa juu kuna baba yangu
yuko mbele kila mudaa kila saa
Nikki nikilaga mbivu unavuna wivu
Ulipanda uvivu ramba ramba jivu upone kiungulia
maana unaumia unawaza mikasi una mitikasi
Subiri afe dingi ukarithi mirathi kama una acha kula nyasi
mda ni sangapi sitakiwi kujua weiter leta hapa mi nakiu fungua kata
Mama utakiwi kuvua najua hauna gaga leo lakini sugua Leo marafiki amtakiwi sumbuaa na
Kama Mimi ni jipu leo tumbua kama Mimi mweusi paka rangi acha nizibuke bangee
Quality time, quality time ooh your my
quality time, quality time
It's me my self and I
Kokoriko oh oh
mpaka kokoriko oh oh
mpaka kokoriko oh oh
mpaka kokoriko
It's my self and I
Ooh oh
--- www.LRCgenerator.com ---