Safari Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Safari - Nikki Wa Pili
...
where is money oh!!
where is my honey njoo
Bila we ni presha nakesha
ah tupendane safari ya mapenzi kitaani
aziza Anita Anne
toka Nani anitukane
eti Sina pozi Sina money
niweke pozi au nikuchane
nikupe Kiki ujulikane
hakuna Kiki just fun
Sina mshahara Ila sholout
mziki biashara
wananitaka leo wakina Sarah
sio me sio joh sio g warara
watoto wanaipenda asali
watoto hawapendi ukali
hawapendi safari maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto mkali
I love u waubani (2)na huku I love
ur money ( uh uh eh)
I love u waubani (money') na huku I love my money
man me na we sijali
safari is not fun
jaman Hawataki kunicrown me
usijali hakianani
dem alidhani me ni jigga
nikakuacha akidhani nitapiga
hakuna gold wacha digger
utachezea wazungu wa nigga
mashoping kutwa kwa maduka
saluni mawigi kusuka
madiscko majoka kuruka
na jina nimwandike kwa chupa
kwa miguu ata nikamaliza moka
mie bado sikua Kanye
kumbe kasister du kitambo kalikua Kardashian
hakuna kitu kichwani dash Yan
watoto wanapenda asali
watoto hawapendi ukali hawapendi safari maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto .mkali
where is my money oh
where is my honey njoo
bila we ni presha nakesha na we (2)
I love u waubani na huku I love ur money
I love u waubani na huku I love my money
I love my money
utanipiga deki nikikudekeza
maisha safari ndo kuwekeza
Mara nataka I phone mmmh!!
nikakanunulia apple kakatafuna Kisha nikakatafuna
kakataka out nikakatoa nje kakapigwa upepo nikakaimbia xo
mapenzi mama ntakupa pepo
Mambo za Nini em karibu depo
mie ni zero juu yako simama pembeni kushoto tukamilishe kumi
watoto wanapenda asali
watoto hawapendi ukali
hawapendi safari
maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto mkali eh oooh.
where is my money oh
where is my honey njoo
bila we ni presha nakesha na we ( 2)
i love u waubani na huku I love ur money
I love u waubani na huku I love my money (money)
lyrics by ig alwayswith_mello