NALIA (Remix EDM) Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2021
Lyrics
NALIA (Remix EDM) - Chidi Beenz
...
CHID BEENZ - NALIA
(BakoloMbonda)
Aah aaah aah aah Aah Aah ah ah
Mh mmmmh mh
Oi mama me naliaaa..
moyoni naumia, mateso
kiguu na njia uko wapi nitakuja nakukimbilia
Oi mama me naliaaa..
moyoni naumia, matesoo
kiguu na njia uko wapi nitakuja nakukimbiliaa..
watoto wanalia, mama yuko wapi
Mimi naumia utarudi saa ngapi
ninashindwa ona, njia nimefichwa
ninapata homa inapanda kwa kichwa
kama ningejua ningeweza kukufata
lichomoke jua, mvua kali Za msata
nafsi inaimba, inasononeka, napiga marimba machozi yanaongezeka
Rudi
bado nateseka nawewe
Bado
nateseka kwako nielewe
hakuna mwingine
mwingine ni wewe
sitaki mateso
mateso niongezewe Mamaa!!
wapi ulipofichwaa?? njia ntafikaaa? njia gani ntapita???
sitaki shika kichwa, sitaki kukukosa kabisa
Oi mama me naliaaa..
moyoni naumia, matesooo
kiguu na njia uko wapi nitakuja nakukimbiliaaa,
Oi mama me naliaaa..
moyoni naumia, matesoo
kiguu na njia uko wapi nitakuja nakukimbiliaaa..
( Verse 2)
Shida zanifanya nachizika ahh, mapenzi kha! yananipita ahh!
furaha sina nasikitika ahhh!, sijui lini haya yatakwisha haaah!!
chumbani najiona peke yangu uuhh!, nyumbani napoa na wanangu uuh!,
hili gogo sasa bandubandu uh
nazikumbuka enzi Za tangu huu!!,
machozi yananitoka kwa ndani iih!
akili inakuwa hayawani iih!
siwezi kutulia taflani iih
siwezi nimtembelee nani hii??
huwezi kuona kama sio chakoooh
siwezi kuona huu ugonjwa wakoooh
siwezi kuona homa ya kwako
Rudi unipoze Mimi mwenzakoo
Oi mama me naliaaah..
moyoni naumia, mateso
kiguu na njia uko wapi nitakuja nakukimbilia
Oi mama me naliaaah..
moyoni naumia, matesoo
kiguu na njia uko wapi nitakuja nakukimbiliaah
(Bakorombonda)