Niambie ft. Dk kwenye Beat Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Niambie ft. Dk kwenye Beat - David Wonder
...
yooooh ,
David wonder
Nana Nana
Dk kwenye beat
salam salam
nashukuru ndugu yangu umekam
nninavyoishi me nahisi nimejam
ni ju maisha imesimama kama jam
nimejam nimejam
acha nikwambie nimejam
ni ju naona kwa wengine ni garama
sa hiyo me nazidi kuumia binadam
oooooh
me nasota
tulia nikwambie ,nakosa hata mboga na jirani asijue
ona vile me nasota ,
tulia nikwambie,natamani hata soda duka ni nunuwe
sijazoea suti na tai
tofauti ya coffee na chai
nashindwa kwani mimi sifai
niambie eeeh eeeh see
(niambie nitangoja mpaka lini
oooh niambie niambie mmi )*2
(ju mashida yanisonga
songa songa songa
na natamani kusonga
songa songa songa)*2
Dk kwenye beat
chukulia rahisi ,maombi hujibiwa
lakini kaa macho maono huibiwa yee
mwenye haki lazima huchukiwa