Ni Wewe ft. Moji Shortbabaa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Ni Wewe ft. Moji Shortbabaa - David Wonder
...
Ikikuja vita ya mkono ama fujo nitalemewaa,ikikuja ujanja mawazo siko hapo nitalemewaa,,lakini najua nguvu yangu ni yesu, lakini najua nguvu yangu ni yesu .sina nguvu Mimi sijakataa ooh sina nguvu Mimi sijakataa kujipigania ni kupoteza masaa sina nguvu Mimi sijakataa na (tena mi najua nguvu yangu ni yesu ×2). CHOROUS.....Wakati wa shida Wakati wa Raha ni yesu mi Naona aah, Wakati wa thiki na ugonjwa ni yesu aniponya *2 Baba ni wewe ni wewe ni weweee mwanga wangu ni we kimbilio ni we *2 "trumpet", VERSE 2 ..Najipata naingia rahisi mahali wanatumia jasho Najipata Mimi nadishi fity na Jana sikujua ya kesho na wakiuliza oh nitasema ni we oh nitasema ni we na bila kuuliza Wacha waone ni we Wacha waone ni we umeniepusha mengi machungu ukayamaliza mashida suguu Wacha Mungu uitwe Mungu papa i thank you na kizunguu,na hapo fighter you 'v done so much for me you are my fighter you'v done so much for me . (Back to CHOROUS)