Msalaba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Msalaba - David Wonder
...
emb records
shaz baro
yote yaliisha kwa msalaba
yote yaliisha kwa msalaba
yesu alimaliza kwa msalaba
alimaliza kwa msalaba
yote yaliisha kwa msalaba
yaliisha kwa msalaba
yesu alimaliza kwa msalaba
alimaliza kwa msalaba
yote yaliisha kwa msalaba, ukiona walemeo wanakimbilia baba
akina ndugu na kina dada
alikufa juu ya si sote so usiogope
sio kwa mali kwa mali mimi somali somali
ndio yesu akaniokoa
sio kwa mali kwa mali mimi somali somali
ndio yesu akaniokoa
msalabababa alinifia
ona mi sina uwoga
ona mimi sina fear
ata nikiwa kwa noma
ona baba unaniskia
shetani akiniona, ooh my ANAKIMBIA
yote yaliisha kwa msalaba
yote yaliisha kwa msalaba
yesu alimaliza kwa msalaba
alimaliza kwa msalaba ×2
mmmh
najiuliza mimi ni nani?
ndo uwache utukufu uje unifie
najiuliza mimi ni nani?
ndo uwache majukumu unishugulikie
msalaba ona
vile magonjwa yanapona
maangaiko yanakoma
kwa jina la yesu, sio kwa dollar
eeh eehee
sio kwa mali kwa mali mimi somali somali
ndio yesu akaniokoa ×2
yote yaliisha kwa msalaba
yaliisha kwa msalaba
yesu alimaliza kwa msalaba
alimaliza kwa msalaba×2
sio kwa mali kwa mali mimi somali somali
ndio yesu akaniokoa×2
msalabababa alinifia
ona mimi sina uwoga
ona mimi sina fear
hata nikiwa kwa noma
ona baba waniskia
shetani akiniona , ooh my ANAKIMBIA
yote yaliisha kwa msalaba
yote yaliisha kwa msalaba
yesu alimaliza kwa msalaba
alimaliza kwa msalaba
david wonder writen by phill.