Dodo ft. Hakuna Matata Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Dodo ft. Hakuna Matata - David Wonder
...
wana*4 ....... ooooooh Hakuna matata ..... watoto wa mungu eeeh( weeee wa mungu )*4 huko kwetu kulikuwa na ndoto (na ndoto eeh ) waliota watakuwa masonko ( masonko eeh ) hao wote walikuwa watoto (watoto eeh) walikuwa ni nini ( watoto eeh ) *2 huko kwetu kulikuwa na ndoto (na ndoto eeeh ) waliota watakuwa masonko ( masonko eeh ) hao wote walikuwa watoto (watoto eeh) walikuwa ni nini ( watoto eeh ) *2 mh najuwa utokako ndio nifaa na uko hapa juu una ndoto za kupaa amini mungu usichoke useme saa usijifiche chini ya meza wewe ni star dodo dodoo (dododo)*4 ooooooh dodo dodoo (dododo)*4 ooooooh ........ zaminamina tuwaombe wana wetu daily sababu mtaani sio kuzuri vile kila kona nikunoma sio kuzuri vile eeeehh ........ huko kwetu kulikuwa na ndoto (na ndoto eeh ) waliota watakuwa masonko ( masonko eeh ) hao wote walikuwa watoto (watoto eeh) walikuwa ni nini ( watoto eeh ) *2 huko kwetu kulikuwa na ndoto (na ndoto eeh ) waliota watakuwa masonko ( masonko eeh ) hao wote walikuwa watoto (watoto ) walikuwa ni nini ( watoto ) *2 mh najuwa utokako ndio nifaa na uko hapa juu una ndoto za kupaa amini mungu usichoke useme saa usijifiche chini ya meza wewe ni star dodo dodoo (dododo)*4 ooooooh dodo dodoo (dododo)*4 ooooooh