Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Niambie ft. Dk. Kwenye Beat - David Wonder

...

Ahhhhhh Ahhhhh

David Wonder , DK Kwenye beat

Emb Records , 2000 and greatness

...


salaam salaam

nashukuru ndungu yangu umecome

ninavyo ishi mi nahisi nimejam ju maisha imesimama kama jam

nimejam nimejam

ach2a nikwambie nimejam

ju naona kwa wengine ni garam

saa hio mi nazidi kuumia binadam

ohh mi nasota tulia nikwambie

nakosa hata mboga na jirani asijue

ona vile ninasota tulia nikwambie

natamani hata soda duka ni nunue

sijazoea suti na tai

tofauti ya coffe na chai

nashindwa kwani mimi sifai

niambie........ehhh

Niambie nitangoja mpaka lini

Oh niambie nambie mimi

Oh niambie nitangoja mpaka lini

oh niambie , nambie mimi

Ju mashida yanisonga songa songa songa

na natamani kusonga songa songa songa

Ju mashida yanisonga songa songa songa

na natamani kusonga songa songa songa songa

...

Chukulia rahisi maombi hujibiwa

lakini ka macho maono hujibiwa

mwenye haki lazima kuchukiwa

subiri tu kidogo utafanya kufikiwa

si nilikosa na nikaongelewa

maskini wa Mungu nikachelelwa

nayo madharau na wengi nilipewa

nikaishi nikama napimiwa hewa na

lakini jibu nilipewa

mungu wangu hawezi chelewa

kosa langu lilisamehewa

roho nimejazwa mpaka nimelewa

nawe jibu utapewa

mungu wako hawezi chelewa

kosa lako litasamehewa

roho utajazwa mpaka utalewa

...

Niambie nitangoja mpaka lini

Oh niambie nambie mimi

Oh niambie nitangoja mpaka lini

oh niambie , nambie mimi

Ju mashida yanisonga songa songa songa

na natamani kusonga songa songa songa

Ju mashida yanisonga songa songa songa

na natamani kusonga songa songa songa songa

...

Yesu Kristo ata kushangazaga

Atakufanya utapaa juu ya anga gaga

maisha yako ataipanga gaga

Hadi mbinguni utapanda, utakaanga

wacha pressure gas cooker

utabarikiwa utashtuka

wacha pressure gas cooker,

utabarikiwa bro utashtuka

...

Ata come through huyu Yesu,

Story ni true, nitamgojea mimi

Ata come through huyuYesu

Story ni true, nitamgojea mimi

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status