Haiwezani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Haiwezani - David Wonder
...
Glorious chants
DAVID WONDER
Ulisema
utakuja kutuokoa sisi wako watu
Ukasema
takusulubisha baada ya kukana mara tatu
×2
Na baada ya muujiza si kuona
Na vipofu,wagonjwa wakapona
Na viwete kuinuka na kusonga
Nyuma yako walipanga kukumurder
×2
David wonder's sweet
voice(eeiihhhhhhh)
(nguvu zako hata mauti)
Ooohh haiwezani
Glorious chants
Nilidhani bossy wangu ana nguvu sana
Nguvu za kufuta kazi na kuandikana
Nilidhani mweshimiwa ana nguvu sana
Nikimpa kiti leo mi si wa maana
Hakuna cha kulinganishwa
na nguvu zako baba
Hakuna na cha kunitisha
na nikiwa na wewe baba
×2
David wonders sweet voice
(eeeeiiiiiihhhhhhhhh)
(nguvu zako hata mauti)
ooohhh haiwezani
Nimejifunza kuamini nguvu zako
Hujawai angusha watu wako
Kimbilio pigania neno lako
Pigania neno lako
Uhai umenipa bure
Na pia chakula nikule
Sasa mbona mi nirudi kule
Sirudi tena baba
(nguvu zako hata mauti)
Ooh haiwezani
BE BLESSED