Natafuta Kiki Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Rayvanny - Natafuta Kiki - Rayvanny
...
Natalya nitoke kwenye gazette
Niuze sura!
Niseme ninatoka na jokate
Kitamdani picha na faitha Kesey ama snura
NIlete matata mpaka kwa grace
Kwenye radio zote mpaka runinga
Nitangaze kwa kuvimba kwamba lulu anayangu mimba
Au niwatukane wote wanao imba kwa dharau na kuvimba mpaka Yule anajiita
SIMBA
Niseme madam lita katetem akiniona anashindwa ata kuhema au Vanessa Kanena nanetakwa na jux atatemwa
Nataka nifanye sinema kwa alie za na ney si wema Kiki ipi iko njema au nienda kwa sepetu wema