Mwamba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwamba - Rayvanny
...
Mama amina mbele amina mbele mbele
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mabibi na mabwana nawalete kifaa hicho
Chombo icho
Mara akifa haozi (mwamba)
Hana matatizo (mwamba)
Tajiri hana baya (mwamba)
Yani amenyooka (mwamba)
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa yeye anaenifaa
Wambea najua inawachoma
Mukaroge tanga bagamoyo
Mungu kapanga yeye hamuwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote
Tena namshika namchumu hamsemi chochte
Nambeba pia hamnifanyi chochote
Huyu ni wangu natamba simuogopi yoyote
Mama amina mbele amina mbele mbele
(Mama amina mbele amina mbelembele)
Acha apite mbele apite mbele mbele
(Acha apite mbele apite mbele mbele)
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Hana kipere (mwamba)
Sio bahiri (mwamba)
Tena ajarogwa (mwamba)
Tajiri amenoga (mwamba)
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa yeye anaenifaa
Wambea najua inawachoma
Mukaroge tanga bagamoyo
Mungu kapanga yeye hamuwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote
Tena namshika namchumu hamsemi chochte
Nambeba pia hamnifanyi chochote
Huyu ni wangu natamba simuogopi yoyote
Mama amina mbele amina mbele mbele
(Mama amina mbele amina mbelembele)
Acha apite mbele apite mbele mbele
(Acha apite mbele apite mbele mbele)
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa