Teamo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Teamo - Rayvanny
...
Mmmmh, namshukuru mola kanijalia, mrembo wa sura hadi tabia, na kila sababu ya kujivunia yeee,yaani kila kona unatimia, napenda manukato ukinukia,ukiniguza nauzimia yeee, yaani Kama ndege na wanaye, tuogelee na tupae kwenye kiota tukakae, mi nawe, uje nikubebe washangae, wenye uchungu wakazae, tukicheza kucheche na hodari mi nawe, unakula pia, Wala huna fito, chuchu za kunitoa majicho, anaoza gunia, bado uko simple unapendeza, shepu sinda, kiuno Kijiko, chumbani wanipa madikodiko, ukifungu tuki,ni....... mafuriko umeniweza,( ooh my baby teamo,........teamo.........,)×2( loading.......)( ooh my baby teamo)×2. utamu wa asaaaali, najilambalamba tu, nakupoteza misizani, aaah, twende zanzibaaaali, kwenye marashi ya karafu, tulale na pweza forodhani aah,. yaani Kama ndege na wanaye...........