Zezeta Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Zezeta - Rayvanny
...
Ayo Lizer
(Wasafi Recodrs )
Baby mooo
Nifanye big (G) unitafune, ama niwe sindano
Nawe uwe uzi nguo nifume
Amaniwe ndoo, uwe maji yangu na wanune
Nifanye kucha, kama ukiwashwa mi nikukune
Sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikikubipu
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila usiku
Shika funguo gari ya bosi wangu
wako zezeta zezeta
Niko radhi nifunge ule wewe
Mimi zezeta zezeta, zezeta
Au unataka hata nyumba ya baba yangu
Kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwewe
Mimi zezeta zezeta
Mama sitaki paka na panya
Vita za nini
Mi nataka niwe mafuta
Ujipakaze kote mwilini Eeh!
Ama niwe taulo kanga laini
Ukioga ninakufata
Kutoka juu mpaka kwa chini
Maashallah
Ulivyo mwenzako taabani
Naeshimu chumba
Siendi varandani
Tena sikufanyi vocha
Soko dukani
Nikutumbie mchumba
Nikutupe jalalani
Sema mama
Niwe duka la vipodozi
Nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu
Unalia hata nikikubipu
Nisimame kama kinyozi
Nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka
Nilale nawe kila usiku
Shika funguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta zezeta
Niko radhi nifunge ule wewe
Mimi zezeta zezeta
Au unataka hata nyumba ya baba yangu
Kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwewe
Mimi zezeta zezeta
Shika funguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta zezeta
Niko radhi nifunge ule wewe
Mimi zezeta zezeta
Au unataka hata numba a baba yangu
Kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwewe
Mimi zezeta zezeta
Mashilawadu, wanyapia nyapia!
Mashilawadu, wananyatia nyatia!
Mashilawadu, wapate kutangazia!
Mashilawadu, kuwa makini mama!
Mashilawadu, wakudandia dandia!
Mashilawadu, vya wat kupakazia!
Mashilawadu, macho funika pazia!
Mashilawadu, kuwa makini mama Eeh!
Ayo Lizer
ISSAI IBUNGU