Kifo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Kifo - Rayvanny
...
kifo
kifo
kifooo
kifo
kifoo
kifooo
Nuru imepotea
Mbele hatuoni kizaa
Kila kona machozi masikitikooo
mmh
nafsi za nyong'onyea
huzuni moyoni unaumiza
kitabu kizuri ndo kurasa ya mwishooo
vizuuriiiiii haviduuumuuu
neenda magufuli umetimiza majukumu baba
vizuuuriii haviduumuu neenda jembee leetuuu
kuacha mabarabara mahospitalii
wananchi ulivowajali
maskini wa kila hali
magufulii wetuuuu
upendo kwa wasanii kila mahalii
ulifurahi nasi ukatujaliiii
zile kofia kumbukumbu umefunga safariii
magufuli wetuuuuu
kina mama atawafuta naanii machozii?
wafungwa ulowasamehee atawafuta nan machozii?
na vijana atatufuta nanii machozii?
wazee wazee atawafuta nanii machozii?
umeacha alama
kumbukumbu isofutika
pengoo lakooo magufuli sizani kama litazibikaa
moyo unalalama sisi bado twahuzunikaa
umefanya kazi ngumu Shujaa bas nenda kupumzika
jembeee leetuuuu
kifo
kifo
kifooo
kwann kifooo oooh
kifo
kifo kifoo
unachukua wema tu unachukua mashujaa kifoo
kifo
kifoo kifooo
hauna hauna hauna hurumaaa
kifo
kifooo kifooo
kwaniinii kifo kwaniini kifoo kwaniiiiiniii
kifo kifoo kifoo
hauna hurumaaa kwaniniii
machozi ya mama samiaaa atayafutaa nanii?
machozi ya kassim majaliwa atafuta nanii?
machozi ya bashilu mwalii atayafuta nanii?
machozi ya polepolee atayafuta nanii?
machozi ya mama magufuli aatayafuta nani?
machozii ya watanzaniiiiaaaaa atayafuta nanii?
aaah atayafutaaa naniiiii
aaaaaahhhh atayafuta naniiiiii