Vumilia Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Vumilia - Rayvanny
...
iyeeee
mmmmmmmh
iwe kibatali ama mwanga wa mshumaa, kwenye ki Giza Cha jioni
Pikado na ngangali, tulishushie na dagaa,
ukishatoka sokoni
Kisha tufunge safari, itayochukua masaa,
utokwe jasho mgongoni
Na vile Nina machachari, nikikushika kiba,
utamu hadi kinondoni.....
Kuna muda nawaza hivi nitakupa Nini
Sina mbele Sina nyuma masikini! Chakula shida na tunalala chini, niambie?
Wenye mapesa Vogi na ma Lamborghini, wasije fanya ukanipiga chini, bado nawaza hivi nitakupa Nini, utumie?
Sambusa kachori bamia, aaah
tukipata pesa ni sangara
mchicha mtoli bamia aaah
Kama tunalala
kwa hio mama usijali
vumilia (yeiyeeee)
Vuumiilia(iye ye yeah)
Vumilia, kesho tutapata mpenzi
Vumilia (vumilia)
Vuumiilia (Vumilia)
Vumilia,kesho tutapata mpenzi
instrumentals
Najua unatamani high-waiste, make-up
weaving za Dubai na China
Ulipambanye pesi, set up
Chini ya dhahabu yenye jina
oooh
Basi mama vumilia, nakupigania, mpenzi subiria
oooh
hatakujie na Mia, punguza Julia, atatusaidia
eti mapenzi so moyo, mapenzi ni pesa, Kama kweli masikini yatatutesa
uchoyo, usinipe pressure naomba unipende...
Kuna muda nawaza hivi nitakupa Nini
Sina mbele Sina nyuma masikini! Chakula shida na tunalala chini, niambie?
Wenye mapesa Vogi na ma Lamborghini, wasije fanya ukanipiga chini, bado nawaza hivi nitakupa Nini, utumie?
Sambusa kachori bamia, aaah
tukipata pesa ni sangara
mchicha mtoli bamia aaah
Kama tunalala
kwa hio mama usijali
vumilia (yeiyeeee)
Vuumiilia(iye ye yeah)
Vumilia, kesho tutapata mpenzi
Vumilia (vumilia)
Vuumiilia (Vumilia)
Vumilia,kesho tutapata mpenzi
instrumentals