Single Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Single - Lava Lava
...
hee heee hee aii hee
miaka ishirini na tatu sasasasa nimekuwa si mtoto tena
nishapitia mingi mikasa na nimeshajua lipi baya na jema
wazazi wanauliza kutwa , wanapanda juu, heti kabla hawajakufa waone wajukuu na mitandaoni kukikucha mashabiki puu
mbona unatuyeyusha vipi shemeji?
we ndo Kipenzicho ni mbwende tu naona insta yako dm imenona unapendwa wadada kila kona uwe na show kingwe musoma wanakuja kwa wingi mbona na mabusu unapigwa tunaona tunaona... tunaona... paka unazimia!! vipi, nipo single.... wanauliza vipi nipo single? wanauliza vipi, nipo single? heewanauliza vipi... nipo single? heee mbona nipo single...
mmmh mashabiki wingine visirani jamani hawana
dogo ,wakikuandama jamani kukuzodoa zodo, heti muangalie Rayvanny yake mikogo ...anaringa na mama jaidani, hawataki shobo... eeeeh...na wengine huniambia jogoo hapandi mtungi... ona wakina rukia na kina mboso kirungi.
achaga masihara harmonize anajimwaga na sara jitahidi tafadhali upate yoyote hee kaza usiwe fala zichange hizo gwara gwara mmiliki hamisa na zari kama chibu dangote
we ndo Kipenzicho ni mbwende tu naona insta yako dm imenona unapendwa wadada kila kona uwe na show kingwe musoma wanakuja kwa wingi mbona na mabusu unapigwa tunaona tunaona... tunaona... paka unazimia!! vipi, nipo single.... wanauliza vipi nipo single? wanauliza vipi, nipo single? heewanauliza vipi... nipo single? heee mbona nipo single?