Habibi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Habibi - Lava Lava
...
Spice Music
Una rangi ya chotara manga manga
asili ya kizazi bahari
chokoleti Kala mixer mtanganga
unang'ara ng'ari ng'ari
ngozi laini kanchori
sabu sabagia
upo kama mdoli yaani kama wabandia
eeeeh eeeeh eeeeh
ukitembea koko (Koko)
uko nyuma baikoko (koko)
mzigo siwabubujero
sotojolabo boko boko
laini nyanya ya kopo
yaani bonyero bonyero
eeeeh eeeeh
achana na kinaki
hawana lolote
watazusha na wajigijigi , penzi watie tope
nikupeleke kwa bibi , Tifa ama Dangote
uvae shelawigi tapata kwa aristote
habibi (habibi)
nuru laini kipenda roho ( habibi)
nyoka mkali haini uoooh
habibi (habibi)
nuru laini kipenda roho (habibi)
nyoka mkali haini uooo uooohh
mmmh penzi lisiwe dibaji
zidishe utamu tende
mahaba yawe furuchani
tukomeshe visadi viwembe
nikade nikade masaji
wabaki kupiga vijembe
wakahariki magadi ongeza n peremende
aaahh
tungenjeshe pwani mama twende pole pole
kuna Esmakani akina juma lauopole
wasikupande kichwani wakazua mambo uchochole
iwe haibu mtani Mr.Michambo anichole
achana na kinaki hawana lolote
watazusha na wajigijigi , penzi watie tope
nikupeleke kwa bibi ,Tifa ama Dangote
uvae shelawigi tapata kwa aristote
habibi (habibi)
nuru laini kipenda roho (habibi)
nyoka mkali haini uooohh
nuru laini kipenda roho (habibi)
nyoka mkali haini uooohh uooohh
Ayolizahh
usije kugahiri gahiri
mi mwingine sina
usije kugahiri gahiri
penzi likachina
usije kugahiri gahiri
ukatosa masima
usije kugahiri gahiri
nuru ikazimaa
eeeeh
Wasafii