Tuachane Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Tuachane - Lava Lava
...
ayolizer
aaaaah aaaah aaaah aaaahh
aaaaah aaaah aaaah aaah
Kama imeshindikana kunirundia isiwe taabu ,
usiuforce moyo kupenda usipostahili
yanini nikung'ang'anie nishachoka kuwekwa saabu siwezi oooh
na mapezi nishaghairi
Tena Niko tayari .......
vipigwe vinimbi
kengere kwa sherehe
kinagaubaga
mbele ya umati Tuachane
Nakama hutoojali,tuite waumini mapadre na mashehe ,yaishe labda sa kwa Nini tutesane
Kweli we nao nikupendaye
Ila unanipa ghadhabu jinaaa ,
tusitoane nyoongo
na Kama umenichokaaa ee ,niache kistaarabu jinaa
usinipe choongo
Hieeeeeeeeeeeeeeee..
mwili umebaki kongoro ,nyama Sina ni mifuuupa
Naiona ndombolo ,kabisa siezi furukutaaa
penzi kiporo,limeshachina linanuuka kuishi kokoro ,purukushani kutwa kuucha
yieeeeeeeeeeeeeeeeh,
Bora Tuachane
(Bora tuachane siweezi )
Bora tuachane siweezi
(yamenishinda mapenzi)
mi naona Bora tuachane
(eeeeeeh tuachane siwezi)
Bora tuachane
( yamenishinda mapeenzi)
nilidhahiri,kisima kimekauka maji
bdo maana naona hata Sina maana Tena
nilifikirii.... ni gojwa langu
limepata mponyanji ,umeniongezea hoooma ,mwili wote wanitetema
Mi naona baasi labda si ridhiki yangu ,Kama hunitaki....acha tu niende zangu,ya Nini mishikaaki, natafuta boda yangu nijinafaasi,niipande peke yangu
Mwili umebaki kongoro ,nyama Sina ni mifupa
naiona ndombolo kabisa siwezi furukuuta penzi kiporo limeshachina linanuuka kuishi kokoro purukushani kutwa kuucha yieeeh,,,,
Bora tuachane
( Bora tuachane siwezi)
Bora tuachane
( yamenishinda mapeenzi)
mi naona Bora tuachane
(eeeh tuachane siwezi)
Bora tuachane
( yamenishinda mapeenzi)
oooh ooooooh
liwalo na liwe
na namba zako nitafuta
ama utasemaje
liwalo na liwe
nguo zako mashuka wachanikazimwage,.......
liwalo na liwe
sio Kama nimesusa Ila nitafanyanje???
liwalo na liwe
weka mi nanyanyuuka acha tu niaache
(wasafi records)