Tattoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Tattoo - Lava Lava
...
aaaaaaah,mmh
mason the trip
nahisi,nahisi dunia imenihadaa na uwoga
ibilisi,ibilisi kichwan amenijaaa natamani kukuroga,mmh
wa kunisitiri sina,maji yamenizidi kina
mbona nazama nan aniokoe
kabisa umekata shina,umenitosa mazma,umemwaga na mtaama,waudonoeee
siitikii la mwadhini wala la mlaji waala
yako wew
na sijutiii mangapi tulifanya gizani waala shaka uondoeee
ila naijutia tatoo tatoo niliyokuchora tatoo tatoo tatoo mmh mwili mwangu
tatoo tatoo nilokuchora tatoo tatoo tatoo eee Leo imekula kwangu
-----
iii macho yangu hayana pazia hayana ningefanya kwa sirii nizione
ipi ni pasi yanguu bora ungenambia bayana sio kunikatili nisonone
mvuvi kanyimwa ngalawa,mgonjw katapishwa dawa,vipi apoonee
huyu na nafsi umeigawa,ndege umenivunja mbawa huruma nionee hii hiii
sisikii la muadhini wala la mlaji waalaa juu yako wewee
nasijutiii mangapi tulifanya gizan waalaa shaka uondowe
ila naijutia tatoo tatoo nilokuchora tatoo tatoo tatoo mmh mwilini mwangu
tatoo tatoo nilokuchora tatoo tatoo tatoo heee Leo imekula kwangu