Utanipenda Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2014
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Utanipenda - Diamond Platnumz
...
tantara mmmmh
wakati was visenti Sina nimerudi tandale
nimeshndwa kulipa bima nimeuza matale
radio nyimbo wamezima tv ndio hatare
meneja umebaki jina ni taki ya tatale
shabiki zangu walonisifu Kwa maneno matamu
Leo umati zangu ni mitusi tu Kwa Instagramu
nilimuona stadangu ATI naye hanifahamu
ata harmonize ukimpigia ananipungia kama salamu
na magazeti nyumbani Kwa kuku zamani si
unajuanga
utasikia tafarani Kwa zari amemuaga
na nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinanga
nayosema ni ya maana sababu akuna anayejuwa kesho