Haunisumbui Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Haunisumbui - Diamond Platnumz
...
siko kwako si Kanda mbili yaani vyotee havikupendezi
mwana mboko usionawiri topee mimi hutelezi
utaishiako utotabiri tubomoke inasonga miezii
mola ameshatabiri usijichoshee nivunji kipenzi
mbona umekosa nuru
umekosa bahatii hunaa
taitwa kunguru ukifika wananuna
dondoo ndio wanna chururuu
asiyekuuzi wataka chuna mengine nisikufuruu
mmhhhh hazikukai maskara Wala makeup zinakushuka
uso umekuparara mwili shoka zimetenguka
uso sauti ya stara pakojeka uawehuka
jibwa Koko la mbagala linabweka nakubwetuka
Wala hunisubui walaa
Wala hunisumbui Wala
Wala hunisumbui wala
Wala hunisumbui walaa
nahizo posti Mara kubebana Mara
eti mnabusu mtamaliza bundle
unaowatuma kuntukana siogopi mashusho mi Wala michambo
kutwa kwa mapage feki Kama lokole inahusu
mkwe hakutaki eti mwenzangu pole mbona kutu
vimesegi kujitumisha kwa ndugu zangu marufuku
nyota imekufunika usifosii umaarufuu
upepo wa kisulisuli umekuchukua na luksani
tanga limvulivuli wanakununua kwa mizani
kwangu pameshughuli najiashua burudani
na toto zurizuri nimelitua tulimaliiii
umekosa nuru umekosa bahati huna
taitwa kunguru ukifika wananuna
dondoo ndio wanna chururu
asiyekuuzi wataka chuna
Kwa mengine nisikufuruu usio wa shaba Wala chumaaa
Wala hunisumbui Wala (namunikomeshe)
Wala hunisumbui walaa mujiposti maisntagram
Wala hunisumbui walaa na (muniteteshi)
Wala hunisumbui walaaa walaaaaaa .......
wasafiiiiii........
Added By @Talia_Adventures