Lala Salama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Lala Salama - Diamond Platnumz
...
ukilala lala salama, matatizo chuki lawama
ukilala lala salama kamatia picha yangu, Kama ukinikumbuka sana nipigie Simu yangu
ukilala lala salama, kamatia picha yangu, matatizo chuki lawama vumilia mpenzi wangu.
najua wivu ndo mapenzi Ila Chunga usizidi, na si unajua kwako sijiwezi