Simba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Simba - Diamond Platnumz
...
Oooh waiteee…
Kumekucha jamii
Kisha fanya yake mnyama
Oooh kumekucha jamaa
kishafanya ya Aga waambie simba
Simba kiboko yao
Waambie wekundu wa msimbazi Simba kiboko yao
Oooh taifa kubwa Simba kiboko yao
Oooh this is simba Simba kiboko yao
Ona Manara anacheza Anashangilia ushindi umekuja
Moh anaruka ruka Anashangilia ushindi umekuja
Yule dada anakata Anashangilia ushindi umekuja
Wahuni wanaruka ruka Anashangilia ushindi umekuja
Na tutamfunga yeyote atakaye kaa mbele
Si wanawashwa tutawakuna upele
Chenga na pasi ndio zetu kama mbele
Oooh magoli mashuti kama Pele
Wataweza wapi jamaa? Wakwende zao
Kushindana na mnyama, Wakwende zao
Oooh wataweza wapi jamaa? Kushindana na msimanzi
Aga nasema simba Simba kiboko yao
Waambie wekundu wa msimbazi Simba kiboko yao
Haina mpinzani Simba kiboko yao
Oooh mabingwa wa nchi Simba kiboko yao
Ah wanachama wanacheza Anashangilia ushindi umekuja
Mashabiki wanaruka ruka Anashangilia ushindi umekuja
Oooh nguvu moja Anashangilia ushindi umekuja
Hadi wale wanaruka ruka Anashangilia ushindi umekuja
Oya mnyama anakula HAM! Mnyama anang’ata HAM!
Oya mnyama anakula HAM! Mnyama anang’ata HAM!
Anawatafuna HAM! Anawameza HAM!
Anawatafuna HAM! Anawameza HAM!
Eeh kidedea! √√√√
Eeh kidedea! √√√√
Eeh kidedea! √√√√
Eeh kidedea! √√√√
√√√√√√√√√••••••••••√√√√√√√√√√
Naipenda Simba mi shabiki wa damu
Napenda Simba mi shabiki wa damu
Mi mwenzenu shabiki wa damu
Napenda Simba mi shabiki wa damu
Nani baba wanangu nani baba? Simba!
Nani baba wanangu nani baba? Simba!
Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba!
Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba!
Kama unapenda Simba puliza Vuvuzela
Eeh kama unapenda Simba peperusha bendera
Ah kama unapenda Simba puliza Vuvuzela basi
Kama unaipenda Simba peperusha Asa twende, peperusha bendera
Wanangu bendera Nione bendera, waonyeshe bendera
Nyekundu bendera, nyeupe bendera
Ya simba bendera
Humo humo Waitee, aah
Waambie hii ndo timu Yenye mashabiki wengi East Africa
Na yenye makombe mengi East Africa and Central
Iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano Makubwa Africa kuliko club yeyote
Na tutamfunga yeyote aaah
Watoto wa Mfibwazi
Bado sijaskia, miluzi Sijaskia milio
Wanangu miluzi nisikie milio
Wa kule miluzi wa huku milio
Nisikie miluzi wanangu milio
Eeh kidedea!
Eeh kidedea!