Yote Sawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Yote Sawa - Nandy
...
........
Mimi sio kama wale
Waliopita zamani mpenziii
Ooh niamini mwendo uwe sare
Usije niacha njiani mpenziii
Kule niliona mazito
aaaaah
Penzi lilikuaga la mpitooo
aaaaah
Kulalama kulichosha koo
aaaah
Ila nashukuru ilinikomaza roho
Licha ya kuitwa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazwa na msondona
Uzuri haupotei amani
Ubaya hauvalishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya sodoma
Yote sawa
(Mapenzi mbuga nachanja jama)
Yote sawa
(Nishaipata shuruba yakaniumiza)
Yote sawa
........
Yote sawa
(Yote sawaaa)
Taswira penzi sio kitanda tu
Inamengi juu yake
Ni mapenzi
Sio kama sioni na sio ushamba huu
Kuna wengi niwafate
oooh
Nilijaribu nilipoweza kufanya haikuonekana
Kwangu ikawa aibu
Kunichombeza kwa sana
Kumbe ananidanganya
Licha ya kuitwa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazwa na msondona
Uzuri haupotei amani
Ubaya hauvalishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya sodoma
Yote sawa
(Mapenzi mbuga nachanja jama)
Yote sawa
(Nishaipata shuruba yakaniumiza)
Yote sawa
.......
Yote sawa
Yote sawaaaaaaa
Lyrics by Dorie