Nishachoka Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Nishachoka - Harmonize
...
Instrumental
(Beat)
Yeeeeeh'
mmm mmm,
mmm×3
Yeee eeehy
(ayo laizerrrr)
Verse I
kila chenye marefu na mapanaaah,
Huwaga hakikosi mwishooo,
Oooooh mwishooo,
mmmmh,
yanin kurumbana kukicha bila suruhisho,
Oooooh Ooooow,
Huenda kisicho riziki,
hakiliki,
Sa yanin tutoane roho
nimepungukiwa kipi !
mbona naishi
sina hata kibalarooh
Ooooow
na ule utwana wa mapenzi,
kushindana mi na weweeeh,
niliuvumilia na sijaona tamaa aaah
siyo kama siwezi
kupata aliyezaid ya wewe
ila hii dunia na najichunga sana
Tena naandika huu wimbo
Usijipe moyo
Labda nakufikiriah
Nataka iwe fimboooh
Kwenye sura ya choyo
Ukome kunifuatilia
Naandika huu wimbo
Usijipe moyo labda
Nakuwaza sana
Nataka iwe fimboooh
Kwenye sura ya choyo
Ukome kuni iiih hiiiii
Verse II
×××××××××××××××××××××