Mpaka Kesho Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Mpaka Kesho - Harmonize
...
......aaah iiiiih!!!!
hellow hellow baby!
mmmmh!!!mmmh!!
natamani niandike barua niitume kwako,ila nahisi hutoisoma utaikata
hata simu nitajisumbua kupiga namba yako
maan ata ukiiona utaikataa
i wish yawe ndoto
haya ninayo yapitia
ama nirudi utoto imenisonga dunia
eti kurwa bila doto kiwapi nitaanzia
kulia bila kushoto sijawai kusikia
eeeeh!!!
imagine siwezi kukuota
aaah aaah aaaah
maaan ata usingizi sinaa
(sinaaaa)
mwenzako wataniokotaa
aaah aaah aaah
maji yamenizidi kinaa
mwenzenu mimii
(chorus)
mpaka kesho
eeeh eeeeh eeeh
(mpaka kesho)
umeniganda mawazoni
mpaka kesho
(bado nakuwazaa)
eeh(mpaka kesho)
yani mawazo kizunguzungu
(mpaka keshoo)
instaa napaona pachungu
mateso nihurumie eeeh!!
Verse 02
nishajaribu kudanga nipoteze mawazo wenda nitaenjoy kumbe najivua utuu!! na heshimaaa
kwa watabibu waganga nijue nini chanzo mwenzako nikohoi
Ama nyota yangu butuu makalii sinaaa
eeeeeh!!! zile nadhirii kwamba utaniweka moyonii zinajirudiaaa
Mie ndo moja we mbili mbona sasa sikuoni! umenikimbiaaa
aaaah!!
Mie mwenzako kasabuni kichelemaa(siwezi ata kupangusaa)
Jeraha la penzi nachechemaa
Yani umeniachaaa dilemaa!!
Siwezi kupanda kushuka aah
kweli mapenzi vita CCM na chademaa(firauni na mussa)
imagine siwezi kukuota
aaah aaah aaaah
maaan ata usingizi sinaa
(sinaaaa)
mwenzako wataniokotaa
aaah aaah aaah
maji yamenizidi kinaa
mwenzenu mimii
(chorus)
mpaka kesho
eeeh eeeeh eeeh
(mpaka kesho)
umeniganda mawazoni
mpaka kesho
(bado nakuwazaa)
eeh(mpaka kesho)
yani mawazo kizunguzungu
(mpaka keshoo)
instaa napaona pachungu
mateso nihurumie eeeh!!
wa kumove on nitakuwa miee(ooh siwezi) yani ipite siku nisikufikirie(ooh siwezi)
kwenye page yako nisichunguliee( ooh siwezi)