Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2019

Lyrics

Funga Geti ft. Roma - Billnass

...

Naskia joto unavyokesha

Mwisho saa sita oooh (saa sita)

Nishapitia msoto

Mpaka nimefika ooooh

Touch take five now

Waambie mtaa wa pili

Wafunge geti (funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti ( funga geti)

Waambie mtaa wa pili

Wafunge geti (funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti (funga geti)

Mnaojiita wakali kiukali mnapimwa vipi

Nataka sigara kali mfukoni una viberiti

Mtaani waya kali viwaya nitavuta vipi

d-d-d-dadako ananiita continent

Kwenye nchi za kutosha

Maiti wanakosa coffin eeh

Kama buchi lililochoka

Aaa naziona chuki tu na sio upinzani

Ukitaka kujua burudani

Muulize demu wako anajua navaa boxer gani

Bado mnachuki kwani?

Na mwaka huu mtavaa chupi vichwani

Pakua mangoma bila start duble duble

Nashangaa mtoto nandy kusema nenga kivuruge

nimekuwa baba now nimekuwa baba lao

Siku hizi nachukiwa mpaka na waganga wao

Nimekuwa stori kwao zaidi yao zaidi yao

Kunichukia kwaiva tu pressure miili yao

Wanalenga ni kama nenga (nafanya miracle)

Waambie wanaopinga wazidi overdose

Wanalenga ni kama nenga

Waambie wanaopinga

Nenga ni kama nenga

Waambie wanaopinga

Waambie mtaa wa pili

Wafunge geti (funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti (funga geti)

Waambie mtaa wa pili

Wafunge geti (funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti (funga geti)

Na round hii babako lazima tuheshimiane

Leo mhuni nimekutana na teke la vandame

Mpira pass ndio siri ya ushindi

Naslide kwenye nyasi

Imechana mkeka wa mhindi

Si mliandaa mipango kaandaa migambo

Kaandaa mitambo na bado mkatoa matango

Sasa mtaandaa mapango taandaa mabango

Nasajili ng'ambo mtacheza chini chini ya kiwango

Na bado tutahesabu diary

Na dose ndo hii nawapa (kwa stress)

Tutasonga ugali of course kwa maji ya bata

Na nitawahanyari wauza papa

Walinitupa kwa bahari

Nifilie mbali na narudi na samaki nawapa

Si mlikuwa mnakula bati mi nakula kigae

Nyi watoto wa mto wa kati ndo napita mjiandae

Eti unaniombea mauti si bora usalie kunuti

Mnavunja nazi my foot bado hamnikuti

Wanaroma ni kama roma nafanya miracle

Waambie wanaochoma wasiji over dose

Wanaroma ni kama roma (heee heee)

Waambie wanaochoma (hee hee)

Mbomba ni kama roma (hee hee)

Waambie wanaochoma

Waambie mtaa wa pili

Wafunge geti (funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti (funga geti)

Waambie mtaa wa pili

wafunge geti ( funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti (funga geti)

Joto moto

Moto Joto

Naskia joto unavyokesha

Mwisho saa sita ooh (saa sita)

Nishapitia msoto mpaka nimefika ooooh

Waambie mtaa wa pili

Wafunge geti (funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti (funga geti)

Waambie mtaa wa pili

Wafunge geti (funga geti)

Tunapita majangili

Wafunga geti (funga geti)

Funga geti moto

funga geti joto

Take five now

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status