Mafioso Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Mafioso - Billnass
...
s2kizzz baby
eeeh
bingooo
Aahhh haya Mafioso
Aahhh haya Mafioso
Mafioso
Mafio
Mafioso
Mafio
Mafioso
Mafio
mafioso
mafio eeh
Namshukuru Mungu kanipa uwezo
multi purpose
watoto wadogo level zenu nyie ni
time kazi
outfit zangu haziwafiti aaah bas
si mnataka nyie kuwa bill
za nasi
sija hitaji kuwa partio
sijawahi kuwa kuajiriwa
nina focus bro ndo maana
siwezi kutawaliwa
mnaumba sana mdomo ndo maana mnadharauliwa
na mademu zenu four ndo maana wanabanduliwa
so hawajui mi thamani na ngaa na maskills
wambie majamaa walinikuta sina mood
waraji ni silaha ikakukosa ikarudi
waambie majamaa walinikuta sina mood
pata kidogo ushukuru
hata ukikosa usikufuru
pata kidogo ushukuru
haaaaa hayo mafioso
haaaa hayo mafioso
mafioso
mafio
mafioso
mafio
mafioso
mafio
mafioso
hayo mafioso
trust me nimewekeza muda wangu
hamuwezi kunipotexa labla mtoke
na roho yangu
kuni crush me
sio mimi labla demu wangu
sheh ni yule yule leo nimebadili kanzu
naishi mtaa nimepewa warning usipite ambao police pale bar hakuna hata tuisheni
simna jifanya vichaa muulize kreziken
msiba kwa jirani mama usipike
ya niniufeel uwezo wa mwanadamu milele
umekumbuka udongo kama mlevi vile
ya nini ni feel nikiwa na chance nyingine
nikiwa na elimu kidogo napiga brush wengine
pata kidogo ushukuru
hata ukikosa usikufuru
pata kidogo ushukuru
haaaaa hayo mafioso
haaaa hayo mafioso
mafioso
mafio
mafioso
mafio
mafioso
mafio
mafioso
hayo mafioso
pata kidogo ushukuru
hata kidogo usikufuru
pata kidogo ushukuru
hayo mafioso
izack on the beats