Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Do Me ft. Nandy - Billnass

...

chocolate kalambaje

na hata sielewi kanipata pata

kwani kanipata aje

ameniweza weza nime nata nata kwa penzi nakupenda na nashindwa kukukata ndo ujinga uo

umeniweza weza

umenipa limbweta ndo nini hivyo ukinipata penzi basi viazi mbatata ndo chipsi hizo na vinyama nyama pilipili washa ndo utamu hivo

bebi walai


dome dome domeeee

dome dome domeeee

naandaa kiberiti niwashe moto baba Leta ukuni*dome ai *


dome dome domeeee *dome ai *

dome dome domeee *dome ai *

naandaa kiberiti niwashe moto baba Leta ukuni *dome ai *



nafikili uliumbwa

kwa ajili yangu mahususi

na kila nikikutazama unafanya nifikilie kuhusu harusi

nafkiri kuhusu shera

nafkiria kuhusu suti

sifkirii kutumia kinga

hata waseme una Virusi

viuno

vingi Kama

Christian Bella crista msela

African princess na Dela tuta alika na wakunga waje kula mchele si wanatoa Siri za nyuma mpaka siti za mbele


mapigo ya moyo MAMA yanakwenda mboi nisamehe Kama nakupenda sio (2)


zile kaka kata ukipinda mgongo ulipo sema tango ukawacha nganya wabongo vile skupakii mkenya skupakii mkongo labda walushe matofali mana nsha zoea madongo


dome dome domeeee (dome ai)

dome dome domeee (dome ai) naandaa kiberiti niwashe moto baba Leta ukunii

(dome ai

)


leta nimwone leta nimwone

nimevurugwa nimevurugwa

leta nimwone leta nimwone

nimevurugwa nimevurugwa


(dome ai) dome ai


dome dome domeee (dome ai)

dome dome domee (dome ai)

naandaa kiberiti niwashe moto baba Leta ukuni (dome ai)


leta nimwone leta nimwone

nimevurugwa nimevurugwa

leta nimwone leta nimwone

nimevurugwa nimevurugwa

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status