Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2017

Lyrics

Sina Jambo - Billnass

...

Nenga nenga

sina jambo Sina Sina jambo

bilnass bilinass

Mj record.... dakso chal


Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

kuwa na wahuni toka Sina Jambo Sina Jambo kuwa na wanangu toka Sina Jambo,

Mentally nimekuwa mtaa sio get kal(bobmarley)

enzi waya mkali nimechoka arif

tupia juu ya dari zile moka arif

isingekuwa ndoto bila kushare na deal na wanangu wote wanao care,

touch na ngumi mtu tatu kapuni

tag ubavun cheza rafu ka uwepun

sis kwa sis ndi macaptain watot wa fisi,

toka Sina vyangu me na wanangi si tuko peace,

siwezi kataa wanangu kwa kuhofia polisi,

me I murder dem sales mana Mana tuko pitch,

wanangu si madangwe watu wababe,

dili za mazabe tukakabe,

kwann nisi rape tupate shangwe,

nikipata money tukamange,


... Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo


kuwa na wahuni toka Sina Jambo Sina Jambo

kuwa na wanangu toka Sina Jambo Sina Jambo


Natoka uswaz natoka chimbo haswa,

watot enyew hatar so kwann tufuge paka,

watu wabaya af wadudu leo kapaff ona,

ukiona mchizi sio kichaa ujue kashapona,

ona wanangu wako kona hawali sembe Wala Dona vitu flana wanachoma,

ati, si hatunaga mbwembwe

flag la kiswaz labda ulete zengwe,

kwani, si hatunaga we wenge shika hela nyingi ndi tuone changes,


Me na deal na wanangue na Kesha na wanangu hata kama Sina vyangu siwez leta za kipambe.


wanangu si madangwe watu wababe,

dili za mazabe tukakabe kwanin

nisirape tupate shangwe,

nikipata money tukamange.

...

Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

kuwa na wahuni toka Sina Jambo kuwa na wanangu toka Sina Jambo Sina Jambo


me na deal na wanangu nakesha nawanangu hata kama Sina vyangu siwez leta za kipambe (wanangu e)×2


Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

Sina Jambo Sina Jambo Sina Jambo

Mj record

Man amiriiiiiii

by ; maigegervas555@gmail.com

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status