Maokoto ft. Marioo Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Maokoto ft. Marioo - Billnass
...
Chupa limeamka na chai au sio
Nimemuacha mama nyumbani nimeacha madogo
Nimemuacha baby nyumbani nimeacha uroda
Nimemuacha baba nyumbani nimeacha wazee
Kunanuka shida nyumbani oooh
Kwahyo boss
Zingatia maokoto
Haloo sindio boss
Zingatia maokoto
Naenda kama kichwa ujue nikifelisha akwende tu (maliwato)
Nisipofanikisha itaota majani ile njia ya (maliwato)
Tumetoka faraway tunekuja kutafuta hela
Nishamwaga jasho yote nataka hela
Tumetoka faraway tumekuja kutafuta hela
Husilete maneno maneno
Naomba hela yanguu
Halooo nasema boss nataka changu
Oyaa eeh naomba hela yangu
Mmh nakuheshimu boss nataka changu
Kichwa changu hakiko sawa ( nilipe nisepe)
Baba mwenyenyumba ananidai (nilipe nisepe)
Ooh leo siko sawa ( nilipe nisepe)
Husitake tushikane matai (nilipe nisepe)
Boss boss izo note note kata pasu langu
(Singatia maokotoa)
Jua langu mvua yangu aisee nipe changu
(zingatia maokoto)
Boss boss izo note note ilo jasho langu
(Zingatia maokoto)
Jua langu mvua yangu aisee nipe changu
(Zingatia maokoto)
Tukigawana majengo mimi naenda jela mwenzenu
Nikiongea kwa vitendo mtaniona mi msela
Mwenzenu
Naenda kama kichwa huyu akifelisha akwende tu ( maliwato)
Nisipofanikisha itaota majani ile njia ya (maliwato)
Tumetoka faraway tunekuja kutafuta hela
Nishamwaga jasho yote nataka hela
Tumetoka faraway tumekuja kutafuta hela
Husilete maneno maneno
Naomba hela yanguu
Halooo nasema boss nataka changu
Oyaa eeh naomba hela yangu
Mmh nakuheshimu boss nataka changu
Kichwa changu hakiko sawa ( nilipe nisepe)
Baba mwenyenyumba ananidai (nilipe nisepe)
Ooh leo siko sawa ( nilipe nisepe)
Husitake tushikane matai (nilipe nisepe)