Cancer Freestyle Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Cancer Freestyle - Billnass
...
touch ...
nenga mtu mbad nishai sifai tena
Toka nimetoa tatizo wananiita the problem
mtoto mzuri kama nandy unamuachaje dilema
Niko studio na mapishi mpeni maudhui wema
mtajua hamjui mtakuwa hamkui
round hii nakichafua na hili dafu hamfui
tukifunika hamfunui washamba hamsumbui
yaani mnunuliwe pombe mpewe na supu asubuhi
....,,..,.
dada zako wananililia tu
mafioso link level hizi mtazusikia tu
watoto Wana pretend tu