AMENIPANDA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Ni Bwana alonipanda kwa mikono yake Baba
Kando ya mito yenye rehema na baraka
Hunipalilia Baba sikosi mbolea maji
Naishi nikiamini siwezi nyauka nimepandwa eeh
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Kweli Baba wa rehema amenipanda mimi
Baraka zanifuata kokote niendako
Amenipa uhai akalinda afya yangu
Ndiposa nashuhudia sifa za alonipanda Mungu wangu
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Imani ya wokovu kushinda majaribu
Hiyo ni baadhi ya mito nilopandwa kwayo
Mambo yangu yote Baba hupanga kwa utaratibu
Kwa maana anijali aliyenipanda Mungu wangu eeh
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Hakuna juu mbiguni wala chini duniani
Anayemshinda Mungu muumba mpanzi wangu
Hunizunguka mimi kwa damu ya mwanao
Hunilinda vyema sana sipati madhara kwani 'nmepandwa eeh
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi